Ufafanuzi wa kesi katika Kiswahili

kesi

nominoPlural kesi

  • 1

    mashitaka yanayosikilizwa mahakamani.

    ‘Kesi ya jinai’
    ‘Kesi ya uhaini’
    daawa, malau, shauri, mashitaka, masa

Asili

Kng

Matamshi

kesi

/kɛsi/