Ufafanuzi msingi wa kete katika Kiswahili

: kete1kete2

kete1

nominoPlural kete

 • 1

  kauri ndogondogo za pwani.

  komwe, kauri

 • 2

  kitu chochote kinachotumiwa kama komwe katika mchezo wa bao; vijiwe.

  ‘Meno kama kete’
  domino, namu, solo

Matamshi

kete

/kɛtɛ/

Ufafanuzi msingi wa kete katika Kiswahili

: kete1kete2

kete2

kielezi

 • 1

  pasipo kelele; kutokuwako kwa ghasia.

  kimya, shwari

Matamshi

kete

/kɛtɛ/