Ufafanuzi msingi wa kia katika Kiswahili

: kia1kia2kia3

kia1

nomino

 • 1

  kitu kinachotumiwa kufungia mlango kwa ndani.

  kiwi, komeo, pingo, kipingwa

Matamshi

kia

/kija/

Ufafanuzi msingi wa kia katika Kiswahili

: kia1kia2kia3

kia2

nomino

 • 1

  kiungo cha mkono au mguu.

  ‘Kia cha mwili’

Matamshi

kia

/kija/

Ufafanuzi msingi wa kia katika Kiswahili

: kia1kia2kia3

kia3

kitenzi elekezi

 • 1

  inua mguu na kupita juu ya kitu.

  kiuka, chupa

Matamshi

kia

/kija/