Ufafanuzi wa kiada katika Kiswahili

kiada

kielezi

  • 1

    kwa utaratibu wake.

    ‘Fanya mambo kiada’
    ‘Sema kiada’
    vizuri, vyema

Matamshi

kiada

/kijada/