Ufafanuzi wa kiaga katika Kiswahili

kiaga

nomino

  • 1

    ahadi anayotoa mtu kuwa ataitimiza.

    miadi

Matamshi

kiaga

/kijaga/