Ufafanuzi wa kiakia katika Kiswahili

kiakia

kitenzi sielekezi~ika, ~lia, ~isha

  • 1

    enda huko na huko bila ya kutulia.

    shughulika, hangaika, piapia, riaria

Matamshi

kiakia

/kijakija/