Ufafanuzi wa kiambata katika Kiswahili

kiambata

nominoPlural viambata

  • 1

    kitu kinachofuatana na kitu kingine.

    kifuasi

Matamshi

kiambata

/kijambata/