Ufafanuzi wa kiambatisho katika Kiswahili

kiambatisho

nominoPlural viambatisho

  • 1

    taarifa inayoambatishwa mwishoni mwa k.v. barua, makala au ripoti.

Matamshi

kiambatisho

/kijambatiʃɔ/