Ufafanuzi wa kiambato katika Kiswahili

kiambato

nominoPlural viambato

  • 1

    kitu kinachoongezewa kwenye kitu kingine.

    kiongezo

Matamshi

kiambato

/kijambatɔ/