Ufafanuzi wa kiana katika Kiswahili

kiana

nominoPlural viana

  • 1

    mfuniko wa chungu uliotengenezwa kwa udongo.

    mkungu

Matamshi

kiana

/kijana/