Ufafanuzi wa kianga katika Kiswahili

kianga

nomino

  • 1

    hali ya kutoka kwa jua baada ya mvua kunyesha.

Matamshi

kianga

/kijanga/