Ufafanuzi wa kianio katika Kiswahili

kianio

nominoPlural vianio

  • 1

    kidato cha ngazi.

    kipandio, daraja

Matamshi

kianio

/kijanijɔ/