Ufafanuzi wa kianzio katika Kiswahili

kianzio

nomino

  • 1

    malipo au kitu chochote kinachotolewa kuwa ni kitangulizi cha jambo fulani.

Matamshi

kianzio

/kijanzijO/