Ufafanuzi wa kiapo katika Kiswahili

kiapo

nominoPlural viapo

 • 1

  tendo au maneno ya kuthibitisha ukweli kwa kuapa.

  kasama, yamini

 • 2

  ahadi ya kuweka jambo siri.

 • 3

  zindiko la mahali la kuzuia wezi na waharibifu.

  ‘Kiapo cha moto’
  ‘Kiapo cha mkate’
  ‘Kiapo cha sindano’
  ‘Kiapo cha mibano’
  ‘Kiapo cha mawano’
  ‘Kiapo cha kibao’
  ‘Kiapo cha mwavi’
  ‘Kiapo cha kago’

Matamshi

kiapo

/kijapO/