Ufafanuzi wa kiatu katika Kiswahili

kiatu

nominoPlural viatu

  • 1

    kitu kinachotengenezwa kwa ngozi, mti, mpira au plastiki na huvaliwa miguuni k.v. ndara, njuti, buti, kubadhi au mtarawanda.

Matamshi

kiatu

/kijatu/