Ufafanuzi msingi wa kiazi katika Kiswahili

: kiazi1kiazi2

kiazi1

nominoPlural viazi

  • 1

    mmea ambao unatambaa, wenye mzizi mnene na ni chakula.

Matamshi

kiazi

/kijazi/

Ufafanuzi msingi wa kiazi katika Kiswahili

: kiazi1kiazi2

kiazi2

nominoPlural viazi

  • 1

    mmea ambao unatambaa, wenye mzizi mnene, umbo la pia, refurefu na rangi nyeupe k.v. figili, au manjanomanjano k.v. karoti au umbo la mviringo na rangi nyeupe au nyekundunyekundu k.v. kitunguu.

Matamshi

kiazi

/kijazi/