Ufafanuzi wa kiazi mviringo katika Kiswahili

kiazi mviringo, kiazi Ulaya

  • 1

    mmea mdogo ambao hutoa kiazi kilichoviringana, kisichokuwa na utamu.

    mbatata