Ufafanuzi wa kibaba katika Kiswahili

kibaba

nominoPlural vibaba

  • 1

    kipimo cha ujazo wa takriban gramu 700.

  • 2

    chombo cha kipimo hicho.

    ‘Kibaba tele’
    ‘Kibaba cha mfuto’

Matamshi

kibaba

/kibaba/