Ufafanuzi wa kibali katika Kiswahili

kibali

nominoPlural vibali

  • 1

    ukubaliwaji wa jambo linalotakiwa kufanywa.

    ruhusa, idhini, ridhaa

Asili

Kar

Matamshi

kibali

/kibali/