Ufafanuzi wa kibana katika Kiswahili

kibana

nominoPlural vibana

  • 1

    kibamba au kisahani cha bati au plastiki kilichobanwa kwenye bango la gari, chenye namba za usajili wa gari.

Matamshi

kibana

/kibana/