Ufafanuzi wa kibango katika Kiswahili

kibango

nominoPlural vibango

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    mahali pa kusimamishia mlingoti wa jahazi ambao hufungiwa tanga.

    bunta, fundo, farikumu

Matamshi

kibango

/kibangO/