Ufafanuzi wa kibaniko katika Kiswahili

kibaniko

nominoPlural vibaniko

  • 1

    chuma au kijiti kinachotumiwa kushikia nyama au samaki wakati wa kuchoma au kuanika.

    ubano

Matamshi

kibaniko

/kibanikO/