Ufafanuzi wa kibanzi katika Kiswahili

kibanzi

nominoPlural vibanzi

  • 1

    kipande cha mti au ubao kilichobanduka katika ubao au mti uliopasuliwa kwa shoka au panga.

    kidondo

Matamshi

kibanzi

/kibanzi/