Ufafanuzi msingi wa kibao katika Kiswahili

: kibao1kibao2kibao3kibao4kibao5

kibao1

nominoPlural vibao

 • 1

  kifaa cha kuandikia kitengenezwacho kwa jiwe la grife au kipande cha ubao cha kuandikia kwa chaki au kalamu ya jasi.

  sleti

Matamshi

kibao

/kibawO/

Ufafanuzi msingi wa kibao katika Kiswahili

: kibao1kibao2kibao3kibao4kibao5

kibao2

nominoPlural vibao

 • 1

  kikalio kidogo cha ubao kisicho na kiegemeo, agh. kisichozidi sentimita 15.

Matamshi

kibao

/kibawO/

Ufafanuzi msingi wa kibao katika Kiswahili

: kibao1kibao2kibao3kibao4kibao5

kibao3

nominoPlural vibao

 • 1

  kipande cha ubao kinachotumiwa kwa shughuli maalumu.

  ‘Kibao cha kusukumia chapati’
  ‘Kibao cha kukatia nyama’
  ‘Kibao cha sakafu’
  ‘Kibao cha uzi’

 • 2

  mbuzi ya kukunia nazi.

 • 3

  kifaa cha kufyatulia matofali chenye umbo la mstatili.

Matamshi

kibao

/kibawO/

Ufafanuzi msingi wa kibao katika Kiswahili

: kibao1kibao2kibao3kibao4kibao5

kibao4

nominoPlural vibao

 • 1

  dharuba ya kiganja cha mkono kwenye uso.

  kofi, ipi

Matamshi

kibao

/kibawO/

Ufafanuzi msingi wa kibao katika Kiswahili

: kibao1kibao2kibao3kibao4kibao5

kibao5

nominoPlural vibao

 • 1

  muziki, agh. wa dansi, unaopigwa kwa vyombo vya kisasa.

Matamshi

kibao

/kibawO/