Ufafanuzi wa kibaraka katika Kiswahili

kibaraka

nominoPlural vibaraka

  • 1

    mtu mwenye hali ya chini ambaye anatumika chini ya mtu mwingine; mtu asiyekuwa na uwezo.

  • 2

    kiongozi wa serikali ya taifa huru anayetumiwa na serikali za kibeberu kwa faida yao; kiongozi apataye cheo chake kwa msaada wa serikali za kibeberu.

    karagosi

Matamshi

kibaraka

/kibaraka/