Ufafanuzi msingi wa kibarua katika Kiswahili

: kibarua1kibarua2

kibarua1

nominoPlural vibarua

  • 1

    mfanyakazi wa muda anayeajiriwa kwa hesabu ya kutwa.

Matamshi

kibarua

/kibaruwa/

Ufafanuzi msingi wa kibarua katika Kiswahili

: kibarua1kibarua2

kibarua2

nominoPlural vibarua

  • 1

    kazi ya muda fulani.

  • 2

    (ms) kazi ya malipo ya siku au muda fulani.

Matamshi

kibarua

/kibaruwa/