Ufafanuzi wa kibatari katika Kiswahili

kibatari

nomino

  • 1

    taa ndogo ya chupa au kopo yenye utambi inayotumia mafuta ya taa au dizeli.

    kibahaluli, koroboi

Asili

Kar

Matamshi

kibatari

/kibatari/