Ufafanuzi wa kibe katika Kiswahili

kibe

nominoPlural vibe

  • 1

    mchezo wa watoto wa kujificha na kutafutana.

    mwajificho, foliti

  • 2

    ukelele

Matamshi

kibe

/kibɛ/