Ufafanuzi msingi wa kibibi katika Kiswahili

: kibibi1kibibi2kibibi3

kibibi1

nominoPlural vibibi, Plural kibibi

 • 1

  tamko la heshima la kumwitia au kumtaja mtoto wa kike.

Asili

Kaj

Matamshi

kibibi

/kibibi/

Ufafanuzi msingi wa kibibi katika Kiswahili

: kibibi1kibibi2kibibi3

kibibi2

nominoPlural vibibi, Plural kibibi

 • 1

  andazi tamu litengenezwalo kwa unga wa mchele wa majimaji kama ule wa vitumbua.

Asili

Kaj

Matamshi

kibibi

/kibibi/

Ufafanuzi msingi wa kibibi katika Kiswahili

: kibibi1kibibi2kibibi3

kibibi3

nominoPlural vibibi, Plural kibibi

 • 1

  hali ya kufa ganzi sehemu fulani ya mwili kwa muda mfupi.

  ‘Shikwa na kibibi’
  ganzi

Asili

Kaj

Matamshi

kibibi

/kibibi/