Ufafanuzi wa kibindo katika Kiswahili

kibindo

nomino

  • 1

    mkunjo wa nguo unaofungwa kiunoni k.v. kwenye shuka au kikoi, unaotumiwa kama mfuko kuhifadhia pesa za mtu.

Matamshi

kibindo

/kibindÉ”/