Ufafanuzi wa kibinyo katika Kiswahili

kibinyo

nominoPlural vibinyo

  • 1

    adhabu au mateso anayopewa mtu ili aseme mambo yaliyofichika.

Matamshi

kibinyo

/kibi3ɔ/