Ufafanuzi wa kibiri katika Kiswahili

kibiri

nominoPlural vibiri

  • 1

    kipande cha sigara iliyobakia baada ya kuvutwa.

Matamshi

kibiri

/kibiri/