Ufafanuzi wa kibofu katika Kiswahili

kibofu

nominoPlural vibofu

  • 1

    fuko la mkojo lililo tumboni.

  • 2

    mpira mwembamba ambao hujazwa pumzi na kuchezewa na watoto.

Matamshi

kibofu

/kibOfu/