Ufafanuzi wa kibole katika Kiswahili

kibole

nominoPlural vibole

  • 1

    kifuko kidogo kama kidole kilichopo katika makutano ya utumbo mnene na utumbo mwembamba au kinachotokeza katika chango ya tumbo.

    kidoletumbo

Matamshi

kibole

/kibOlɛ/