Ufafanuzi wa kibubusa katika Kiswahili

kibubusa

kielezi

  • 1

    bila ya kujulikana; bila ya kutambulikana.

    ‘Usinichukue kibubusa’
    kisirisiri

Matamshi

kibubusa

/kibubusa/