Ufafanuzi wa kibuhuti katika Kiswahili

kibuhuti

nominoPlural kibuhuti

  • 1

    mshtuko au bumbuazi anayokuwa nayo mtu kwa sababu ya fikira au mawazo ya huzuni; majonzi au majuto; hali ya jitimai.

    ‘Shikwa na kibuhuti’
    chonda, jitimai, ghamu

Asili

Kar

Matamshi

kibuhuti

/kibuhuti/