Ufafanuzi wa kibuluu katika Kiswahili

kibuluu

nominoPlural vibuluu

  • 1

    aina mojawapo ya mbegu ya muhogo.

Matamshi

kibuluu

/kibulu:/