Ufafanuzi msingi wa kibunzi katika Kiswahili

: kibunzi1kibunzi2kibunzi3kibunzi4

kibunzi1 , kiburunzi

nominoPlural vibunzi, Plural kibunzi

 • 1

  siku kabla ya kuaga mwaka; mkesha wa kuaga mwaka; mwisho wa mwaka.

Matamshi

kibunzi

/kibunzi/

Ufafanuzi msingi wa kibunzi katika Kiswahili

: kibunzi1kibunzi2kibunzi3kibunzi4

kibunzi2

nominoPlural vibunzi, Plural kibunzi

 • 1

  ubao utiliwao mchanga wa kupigia ramli.

Matamshi

kibunzi

/kibunzi/

Ufafanuzi msingi wa kibunzi katika Kiswahili

: kibunzi1kibunzi2kibunzi3kibunzi4

kibunzi3

nominoPlural vibunzi, Plural kibunzi

 • 1

  kibua cha kuelezea mshipi wa kuvulia samaki.

Matamshi

kibunzi

/kibunzi/

Ufafanuzi msingi wa kibunzi katika Kiswahili

: kibunzi1kibunzi2kibunzi3kibunzi4

kibunzi4

nominoPlural vibunzi, Plural kibunzi

 • 1

  mchezo wa watoto wa kukaa na kunyosha miguu na mmoja wao akiwaimbia na kupitisha mikono yake katika miguu ya wenziwe.

Matamshi

kibunzi

/kibunzi/