Ufafanuzi wa kiburi katika Kiswahili

kiburi

nominoPlural kiburi

  • 1

    hisia za mtu kujiona kuwa yeye ni bora au mkubwa kuliko wengine.

    majivuno, ujeuri, tadi, ndweo, kedi, usodai

Matamshi

kiburi

/kiburi/