Ufafanuzi wa kibwagizo katika Kiswahili

kibwagizo

nominoPlural vibwagizo

  • 1

    maneno yaliyoko katika mstari wa mwisho wa ubeti wa shairi na ambao hurudiwarudiwa katika kila mwisho wa ubeti wa shairi hilo.

  • 2

    sehemu ya wimbo ambayo mwimbaji huitikiwa na wasikilizaji wake.

    kiitikio, kipokeo, mkarara, takriri

Matamshi

kibwagizo

/kibwagizɔ/