Ufafanuzi wa kibwebwe katika Kiswahili

kibwebwe

nominoPlural vibwebwe

  • 1

    nguo inayozungushwa na kukazwa kiunoni, hasa na wanawake.

    masombo

Matamshi

kibwebwe

/kibwɛbwɛ/