Ufafanuzi msingi wa kibwengo katika Kiswahili

: kibwengo1kibwengo2

kibwengo1

nominoPlural vibwengo

  • 1

    pepo wa bahari ambaye hudhaniwa kuwa huwachezea wavuvi wanaovua nyakati za usiku.

Matamshi

kibwengo

/kibwɛngɔ/

Ufafanuzi msingi wa kibwengo katika Kiswahili

: kibwengo1kibwengo2

kibwengo2

nominoPlural vibwengo

  • 1

    ngoma ya kupunga pepo.

Matamshi

kibwengo

/kibwɛngɔ/