Ufafanuzi wa kichaa cha mbwa katika Kiswahili

kichaa cha mbwa

nominoPlural kichaa cha mbwa

  • 1

    ugonjwa unaompata mbwa na kumfanya abweke ovyo na kuwa kama mtu mwenye kichaa.

  • 2

    ugonjwa unaompata mtu aliyeumwa na mbwa mwenye kichaa.

    kalab

Matamshi

kichaa cha mbwa

/kit∫a: t∫a mmbwa/