nominoPlural vychaka
- 1
kipande cha mti kinachotiwa katika mti mwingine baada ya kukatwa kidogo kwa msumeno kwa ajili ya kuunyosha mti huo.
- 2
mti unaotiwa pembeni mwa mwimo unaozuia mwamba.
Matamshi
kichaka
/kit∫aka/nominoPlural vychaka
- 1
mahali penye miti mifupimifupi iliyoshonana na nyasi, miba, n.k..
kituka