Ufafanuzi wa kichango katika Kiswahili

kichango

nominoPlural vychango

  • 1

    mchango wa hali na mali wanaochangishana watu katika jamii kwa lengo la kusaidiana.

Matamshi

kichango

/kit∫angɔ/