Ufafanuzi wa kichefuchefu katika Kiswahili

kichefuchefu

nomino

  • 1

    hali ya kuchafuka moyo na kutaka kutapika.

    kigegezi, jelezi

Matamshi

kichefuchefu

/kit∫ɛfut∫ɛfu/