Ufafanuzi msingi wa kichele katika Kiswahili

: kichele1kichele2

kichele1

kivumishi

 • 1

  -enye kuonekana au kueleweka kwa urahisi.

 • 2

  tupu, wazi

Matamshi

kichele

/kit∫ɛlɛ/

Ufafanuzi msingi wa kichele katika Kiswahili

: kichele1kichele2

kichele2

kivumishi

 • 1

  ndogondogo.

  ‘Fedha kichele’
  ‘Pesa kazimwaga kichele’

Matamshi

kichele

/kit∫ɛlɛ/