Ufafanuzi wa kichinichini katika Kiswahili

kichinichini

kielezi

  • 1

    kwa ujanja; kwa ulaghai.

  • 2

    kwa wizi.

Matamshi

kichinichini

/kit∫init∫ini/