Ufafanuzi wa kichwa kigumu katika Kiswahili

kichwa kigumu

msemo

  • 1

    mtu asiyesikia au asiyejali maneno ya watu au mambo yanayomfika.