Ufafanuzi wa kidaka katika Kiswahili

kidaka

nominoPlural vidaka

  • 1

    nazi changa kabla haijawa kitale.

  • 2

    embe changa kabla halijawa na kokwa.

Matamshi

kidaka

/kidaka/